
akizungumza na kipindi cha micharazo time toka 98.4 dodoma fm radio YOUNG 60 amesema anatarajia kuachia wimbo wake mpya ambao umetengenezwa na producer KIDMANE studio za B1 records.
pia 60 Amesema wimbo huo aliopatia jina la MSAFI SAFI hayarudia wimbo wa mtu yeyote kwani idea hiyo ni tofauti kabisa na idea ambazo alisha wahi kuzifanya au kufanya na wasanii wengine toka ndani ya dodoma.
Young 60 ni msanii ambaye alipata sifa kubwa baada ya kurudia wimbo wa kiss daniel unaitwa woju nayeye kugeuza kwa lugha ya kiswahili na kuupa jina la wachuo.
SOURCE MICHARAZO TIME 98.4 DODOMA FM RADIO