BUJANLAU ATANGAZA ATAKACHOKIFANYA SIKU YA VALENTINE DAY, SOMA ALICHOKISEMA UFURAHI NA ROHO YAKO. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, February 12, 2016

BUJANLAU ATANGAZA ATAKACHOKIFANYA SIKU YA VALENTINE DAY, SOMA ALICHOKISEMA UFURAHI NA ROHO YAKO.

Msanii wa mzuiki toka dodoma Bujanlau ambaye kwasasa anatamba na ngoma yake mpya yakuitwa knowledge ametangaza kitu ambacho atakifanya siku ya valentine day.

kupitia mtandao wa watsap kwenye group la jukwaa la wasanii msanii huyo wa muziki wa hip hop amesema siku ya valentine day amepanga kusherehekea siku hiyo kwa kukesha studio akiandaa mkwaju wake mpya ambao anatarijia kuutoa muda si mrefu.

source watsap.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages