BIG BORN 90,_ HAKUNA MSANII ANAYE STAHILI KUCHUKUA TUZO YA MWANAMUZIKI BORA ZAIDI YANGU. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, February 17, 2016

BIG BORN 90,_ HAKUNA MSANII ANAYE STAHILI KUCHUKUA TUZO YA MWANAMUZIKI BORA ZAIDI YANGU.

Msaniiwa mzuki nchini kutoka dodoma big born 90 amesema anastahili kuchukua tuzo ya msanii bora wakiume kutokana na kazi zake alizo zifanya mpaka sasa.

big born 90 ameyasema hayo kupitia kituo cha radio 98.4 dodoma fm radio kipindi cha micharazo time kinacho endeshwa na benedict ngelangela, big amesema anastahili kuchukua tuzo hiyo kwani muziki anao ufanya ni mkubwa na hakuna mwanamuziki anafanya kazi kama yeye na mziki wake ni tofauti.

big born 90 pia amewaomba watanzani waweze kumpigia kura kama mwanamuziki bora wakiume kupitia kipengele cha mwanamuziki bora wakiume.

kupiga kura tembelea www.nyambagoawards.co.tz.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages