WISE ONE AMEAHIDI KUWEKA HISTORIA KWENYE TAMASHA LA DODOMA FESTIVAL 2015 DEC 19 - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, December 8, 2015

WISE ONE AMEAHIDI KUWEKA HISTORIA KWENYE TAMASHA LA DODOMA FESTIVAL 2015 DEC 19


Ametamba na nyimbo zake kibao ambazo ameshirikishwa pamoja na zake binafsi anaitwa wiseone a,eweka ahadi ya kufanya show kubwa sana kwenye tamasha la dodoma festival 2015 litakalo fanyika dec 19, 2015 jamhuri stadium mkoani dodoma huku tukiadhimisha miaka mitano ya dodoma fm radio, kwa kiingilio cha shilingi elfu 3 tu na mlangoni unajipatia baltika zero moja pamoja na coca cola moja bureee
USIKOSEEEEEEEEEEEEE.....................

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages