PICHA 20 ZA BAADHI YA WASANII WALIO PIGA KURA HII LEO. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday, October 25, 2015

PICHA 20 ZA BAADHI YA WASANII WALIO PIGA KURA HII LEO.

Tunaelekea kuufunga ukurasa wa stori za Uchaguzi Mkuu Tanzania mwaka October mwaka 2015, lakini ukurasa huo hautofungwa mpaka Wagombea Udiwani, Ubunge na Rais anaepokea nafasi ya Rais Jakaya Kikwete watangazwe.
Tumewaona mastaa wengi Tanzania kwenye Majukwaa ya Siasa wakinadi Wagombea, lakini wapo ambao hawakujihusisha na Kampeni kabisa… wote kwa pamoja wameonesha kujitokeza na kushiriki kwenye kuiandika Historia kubwa ya kushiriki Uchaguzi Mkuu uliofanyika October 25 2015 kwa kupiga Kura.
Hapa nimekusanya baadi ya post za mastaa kwenye fani mbalimbali Bongo, ikiwemo Watangazaji maarufu, Wasanii wa Muziki na Movie, Comedy na wengine wote waliopost kwenye kurasa zao @Instagram kuonesha kwamba wameitendea haki siku ya Uchaguzi wa leo.
Screenshot_2015-10-25-16-57-21
Staa wa Bongo Fleva long time sana, Jaffarhymes
Screenshot_2015-10-25-16-57-31
Staa mwingine wa Bongo Fleva, Mayunga.
Screenshot_2015-10-25-16-55-57
Mrembo Linah Sanga.
Screenshot_2015-10-25-16-54-58
Rapper Jay Moe.
Screenshot_2015-10-25-16-52-05
Staa wa Bongo Movie, Rose Ndauka.
Screenshot_2015-10-25-16-59-48
Mtangazaji Mboni Masimba.
Screenshot_2015-10-25-16-59-37
Mwigizaji Wastara.
Screenshot_2015-10-25-17-02-07
Mtangazaji wa show ya XXL Clouds FMB Dozen aka B12.
Screenshot_2015-10-25-17-02-45
Rapper kutoka Kundi la Weusi, Lord Eyez.
Screenshot_2015-10-25-17-03-08
Batulistaa wa Bongo Movie.
Screenshot_2015-10-25-17-03-48
Staa wa Movie BongoIrene Uwoya.
Screenshot_2015-10-25-17-04-38
Mtangazaji Geah Habib wa ‘Leo Tena’ Clouds FM.
Screenshot_2015-10-25-17-51-06
Saleh JembeMwandishi wa Habari za Michezo TZ.
Screenshot_2015-10-25-17-50-53
Mwimbaji Stara Thomas.
Screenshot_2015-10-25-17-04-49
Faiza Ally.
Screenshot_2015-10-25-17-51-57
Mwigizaji Natasha.
Screenshot_2015-10-25-16-58-35
Hii ni post ya Mchekeshaji Joti akiwa na MgombeaUbunge wa Mbeya, ‘Joseph Mbilinyi Sugu’.
Screenshot_2015-10-25-17-53-47
Shilole na mpenzi wake Nuh Mziwanda.

Screenshot_2015-10-25-18-35-34

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages