EXCLUSIVE >>>>>> WISE ONE KUFANYA COLLABO NA BENPOL........... - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, October 16, 2015

EXCLUSIVE >>>>>> WISE ONE KUFANYA COLLABO NA BENPOL...........

msanii wa muziki toka Dodoma Wise one ambaye anafanya kazi na kampuni ya Dreamz Records entertiment, amewasupriz mashabiki zake baada ya kupost picha ambayo ameonekana yupo na msanii ambaye chimbuko lake ni dodoma pia anatamba na wimbo wake wa Sofia (Ben Pol).

kupitia ukurasa wake wa facebook amepost picha na maelezo yaliyosomeka like a father like a son kaa tayari kwa project nyingi kutoka kwetu
ben pol akiwa na wise one

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages