CENTRALZONE KUKIWASHA HOMBOLO, NI KATIKA CENTRALZONE TOUR HIVI NDIVYO VITAKAVYO HUSIKA. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, October 2, 2015

CENTRALZONE KUKIWASHA HOMBOLO, NI KATIKA CENTRALZONE TOUR HIVI NDIVYO VITAKAVYO HUSIKA.

NAJU unawakubali sana wanamuziki toka kundi la Central Zone toka Dodoma sasa wanakusogezea Burudani zao zote mpaka mlangoni mwako ni katika CENTRALZONE TOUR.
hiyo ni tour iatakayo kuwa na supriz za kutosha pamoja na maunjanja kibao na kwa mara ya kwannza wanaanzia HOMBOLO iliyopo kwenye manispaa ya dodoma.
ni kwa kiingilio cha shilingi 4000 tu pamoja na vitu vingi kuhusika.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages