HAYA NDO MAAMUZI MAGUMU YA PROF IBRAHIM LIPUMBU JUU YA CHMA CHAMA CHAKE. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, August 6, 2015

HAYA NDO MAAMUZI MAGUMU YA PROF IBRAHIM LIPUMBU JUU YA CHMA CHAMA CHAKE.


Prof. Ibrahim Lipumba ametangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti kwenye chama chake cha Wananchi CUF.

Ametangaza kuachia ngazi uenyekiti wa chama hicho mapema leo, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika hoteli ya Peacok.

Amesema amechukua uamuzi huo kutokana na UKAWA kushindwa kusimamia makubaliano yao.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages