kiukweli dodoma kunavipaji vingi sana toka tasnia mbalimbali za burudani, leo nakuletea majina mawili ambayo si mapya sana lakini walikuwa wamesha jaribu kufanya baadhi ya kazi kipindi cha nyuma.
 |
MSANII JOYCE KEY |
LINUS GIGGS ni director wa filamu na video za muziki ambaye amemake headlines baada ya kuachia kazi video ya msanii MEMO nyimbo ni WEEKEND ambyo ni kati ya video bora ambazo ziliwai kutokea mkoani hapa.
TAZAMA HAPA KAMA BADO HUJAITAZAMA VIDEO HIYOhttp://ngelangelanews.blogspot.com/2015/07/dodoma-yatoa-video-ya-hali-ya-juu.html
 |
DIRECTOR LINUS KWENYE MUONEKANO |
lakini sasa director huyo yupo chimbo akimsuka muigizaji chipukizi wa filamu na video queen JOYCE KEY.
Akizungumza na mwandishi wa mtandao huu kupitia ukurasa wa facebook JOYCE KEY amesema alikuwa kimya muda mrefu kwasababu alikuwa mafichoni wakiandaa kazi mpya ambaye imeongozwa na director LINUS GIGGS toka rafimage.
 |
LINUS NA JOYCE WAKIWA LOCATION |
MAZUNGUMZO YALIKUWA HIVI.
aidha JOYCE amesema kazi hiyo itatoka hivi karibuni lakini hakuitaji siku rasmi, bado mtandao huu unafanya jitihada za kumtafuta director linus kuzungumzia kiundani.
HAKIKISHA UNASAPOTI VYA NYUMBANI.