
Msanii wa muziki wa kizazi kipya mwenyeji wa Iringa ambaye inasemekana ameachana na aliyekuwa mpenzi wake Shilole, kupitia ukurasa wake wa facebook NuhMziwanda ameandika kumshutumu mpenzi wake huyo na kudai kuwa amevujisha wimbo mpya ulio enea mitandaoni uliopewa kwa jina la ganda la ndizi.
SOMA ALICHO ANDIKA NUHMZIWANDA.
Samahani sana mashabiki na @shilolekiuno kwa kuvujisha huu wimbo bila idhini yake tuliorekodi mda mimi na yeye na ndio sababu kubwa yeye kukasirika mpaka malumbano yooote yaliyotokea'twende sawa na tupendane jamani bila makwaruzano'mana tuna sababu bilioni za kujiamini na kupendana pia natangaza rasmi wimbo mpya kabisa wa Nuh Mziwanda na Shishi wimbo mpya kabisa #GandaLaNdizi unaweza usikiliza kwa kubonyeza link hapo kwenye Bio yangu ya Blue'nawapenda sana
NINI MAONI YAKO JUU YA HILI WANAIGIZA AU NI KWELI. 😍😍
NJ