MSANII BUJANLAU TOKA DODOMA/NKUHUNGU KUJA NA VIDEO YA REFRESH NA HIP HOP. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, July 22, 2015

MSANII BUJANLAU TOKA DODOMA/NKUHUNGU KUJA NA VIDEO YA REFRESH NA HIP HOP.


Msanii anae fanya game la hip hop toka dodoma Nkuhungu BUJANLAU Ambaye ametamba na kibao chake cha refresh na hip hop ambacho alitengeneza chini ya producer Kimombo wa Coco Records amejibu swali lililokuwa likiulizwa na mashabiki wake kuwa ni lini ataachia video ya wimbo wake wa refresh na hip hop.
kupitia 98.4 dodoma fm radio msanii huyo amesema kwasasa yupo kwenye maandalizi ya kushoot video ya wimbo wa refresh na hipo hop ambayo shuguli za kushoot nyimbo hiyo zitafanyika waiki ijayo kwenye lacationa za sehemu tofauti tofauti mkoani hapa(dodoma).

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages