
HII ni ngoma ambayo kwa mara ya kwanza ukiitizama hutaacha kuirudia lakini kama haitoshi ukisikiliza ufundi wa producer alietengeneza audio lazima uifanye iwe ring tone kwenye simu yako maana ni kitu kipya maskini mwako.
kama bado hujaamini chukua fursa kuitazama hapa.