Ni kweli ukihesabu watu wenye vipaji toka mji wa dodoma basi lazima umtaje msanii Jacco Beat, baada ya kuhit na ngoma kadha wa kadha sasa amerudi upya na ngoma ambayo imetengenezwa toka studio za MOTO RECORDS.
JACCO BEATS Ameshare picha hii kwenye ukurasa wa facebook.
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates which are professionally designed and perfectlly seo optimized to deliver best result for your blog.