TAZAMA VIDEO: MCHEZA MIELEKA WA MEXICO AFIA ULINGONI AKIPAMBANA NA REY MASTERIO - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, March 23, 2015

TAZAMA VIDEO: MCHEZA MIELEKA WA MEXICO AFIA ULINGONI AKIPAMBANA NA REY MASTERIO


Mchezo mieleka maarufu wa mexico Hijo del perro Aguayo, amefariki dunia akiwa ulingoni mbele ya maelfu ya watazamaji weekend iliyopita.


Mwana mieleka huyo alikuwa akipambana na Rey Mysterio ijumaa iliyopita alithibitishwa kuwa amefariki dunia saa saba usiku march 22.

Hijo Del Perro Aguayo(35) ni mtoto wa mchezaji mkongwe wa mmchezo huo wa mexico Pedro perro aguayo.
VIDEO YA TUKIO ZIMA HII HAPA.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages