HIVI NDIVYO BAADHI YA WATU WALIO MUWISH HAPPY BIRTHADAY DIRECTOR WA VIDEO ERICK BACKAMAZA WAMESEMA. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, March 28, 2015

HIVI NDIVYO BAADHI YA WATU WALIO MUWISH HAPPY BIRTHADAY DIRECTOR WA VIDEO ERICK BACKAMAZA WAMESEMA.


Katika uhai wa binadamu kitu ambacho hawezi kukisahau ni siku ambayo alitua duniani nikimaanisha siku ambayo alizaliwa na kuliona jua.

kinda ambaye anachipukia vizuri kwenye game la kuongoza na kutengeneza video za wasanii toka dodoma Erick backamaza siku kama ya leo ya tarehe 28 march, ndio ambayo amezaliwa.
Mtandao huu wa Ngelangela news unaungana na baadhi ya watu wafuatao kumpongeza ndugu yetu bakamaza kwa umri alio timiza kwasasa kutokana na mchango wake mkubwa katika kuutangaza muziki wa dodoma.
Add caption
NGELANGELA NEWS INAUNGANA NA WAFUATAO
Happy Birthday!
Bhd
Happy Birthday!
Happy birthday to you Mr Director
H.b.d
Happy b day man miaka mingi na mafanikio tele ninja
Happy birthday dear brother dir Erick Backamaza
***alicious***
Lakini pia yupo Eng msofe, Pinkilicious na wengine wengi.
TAZAMA MOJA YA VIDEO ALIZO WAI KUTENGENEZA KIJANA HUYU.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages