ANGALIA JAY Z NA BEYONCE WALIVYOINGIA KWENYE HEKARU LINALO SADIKIKA KUWA NI JENGO LA KIFREEMASON HUKO THAILAND....! - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, January 6, 2015

ANGALIA JAY Z NA BEYONCE WALIVYOINGIA KWENYE HEKARU LINALO SADIKIKA KUWA NI JENGO LA KIFREEMASON HUKO THAILAND....!


Jigga
Jay Z na Beyonce wameendelea ‘kula bata’ ikiwa ni mwendelezo wa kusherehekea sikukuu za krismasi na mwaka mpya Thailand.
Kila siku ndani ya mwezi December mwaka 2014 ilikuwa na story yao, huo ni mwezi ambao walikuwa wakijiachia kwa ajili ya mapumziko, tarehe 4 December walikuwa katika visiwa vyenye baridi zaidi duniani, Iceland wakienjoy birthday ya Jay Z, baada ya hapo tumesikia sana kuhusu uwepo wao Thailand ambako wamekaa kwa zaidi ya wiki moja sasa.
Picha za mwisho zinawaonyesha wakitembelea maeneo ya Makumbusho, wanaonekana kufurahia wakati wote wa matembezi yao Thailand.
bey4
Juzi jumamosi wawili hao waliamua  kutembelea mapango ya kitalii ya kihistoria ya Cambodia yaliyopo nchini humo.
bey2
bey1
Nakuhakikishia kwamba nitakufikishia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza. CREDIT: MASKANIBONGOTZ

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages