TUNAOMBA RADHI KWA PICHA IZI...MTUHUMIWA WA DAWA ZA KULEVYA APIGWA RISASI AKITOROKA - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, December 31, 2014

TUNAOMBA RADHI KWA PICHA IZI...MTUHUMIWA WA DAWA ZA KULEVYA APIGWA RISASI AKITOROKA


MTUHUMIWA wa kesi ya Dawa za Kulevya, anayedaiwa kuwa ni  raia wa Sierra Leone amepigwa risasi na kufariki katika harakati zake za kutaka kutoroka katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Inadaiwa mtuhumiwa huyo Abdul Koroma alikuwa akitaka kuwaacha kwenye mataa askari Magereza kwa kuruka uzio kabla ya kuwahiwa kwa kupigwa risasi.
I






Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages