DIAMOND PLATNUMZ NA ZARI WATUA RWANDA KWA SHANGWE - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, December 31, 2014

DIAMOND PLATNUMZ NA ZARI WATUA RWANDA KWA SHANGWE

Kama Bado Hujajiunga Nasi, Unaweza Kujiunga Hapa Nikutumie Habari Moja Kwa Moja .

Staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' akiwa na mfanyabiashara mrembo na muimbaji wa Uganda, Zarinah Hassan 'Zari'  au 'The Boss Lady' baada ya kuwasili Rwanda jana.
Diamond Platnumz (katikati) akiwa kamshika mkono mpenzi wake wa sasa Zarinah Hassan 'Zari'  au 'The Boss Lady baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Rwanda.
Diamond na The Boss Lady wakifanya yao.
Diamond (kulia) akiongea na wanahabari baada ya kuwasili Rwanda.
Wanahabari wakifanya yao.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages