SOMA MAKOSA ALIYO SOMEWA CHID BENZ, ARUDISHWA RUMANDE - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, October 28, 2014

SOMA MAKOSA ALIYO SOMEWA CHID BENZ, ARUDISHWA RUMANDE


Msanii Chid Benz mchana huu amesimamishwa
kizimbani katika mahakama ya Kisutu na
kusomewa mashtaka matatu ambayo ni


1. Kukutwa na madawa na vifaa vya kutayarishaji
uvutaji wa madawa
2. Kusafirisha madawa ya kulevya
3. Utumiaji wa madawa ya kulevya

Chidi Benz amerudishwa rumande hadi Novemba
11ambapo ataletwa tena kizimbani.
Dhamana itakuwa wazi kwa masharti ya kuwa na
wadhamini wawili wanaoeleweka na pesa taslimu
milioni 1.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages