Picha za shooting ya video mpya ya Dknob " Nishike Mkono" akiwa na Mwasiti
wiki moja baada ya kudondosha single mpya "Nishike Mkono" akiwa na
Mwasiti, Mr Sahani a.k.a Dknob yuko location kutengeneza video ya wimbo
huo akiwa na Director Nick Dizzo wa E Media..
hizi ni baadhi ya picha za video hiyo ambayo mwenyewe anatarajia kuidondosha siku ya ijumaa