Leo
Kala Jeremiah kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost picha
inayoonyesha ajali aliyoipata wakati akitokea kwenye show yake iliyokuwa
ikifanyika Club East 24 ambayo alikua akifanya show pamoja The B Band
ya Banana Zoro.
Hiki ndicho alichokipost Kala Jeremiah kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Hiki ndicho alichokipost Kala Jeremiah kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Chini
ya Post ya picha ya gari yake Kala aliandika maneno
haya>>nIMEPATA AJALI USIKU HUU NIKIWA NATOKEA CLUB EAST 24 AMBAKO
NILIKUWA NAFANYA SHOW NA B BAND WAKATI NARUDI NYUMBANI GHAFLA KUNA MTU
WA PIKIPIKI AKAWA ANATAKA KUINGIA NIKAJARIBU KUMKWEPA GARI ILIKUA MWENDO
KASI KIDOGO IKAYUMBA KWENDA KULIA NIKAIRUDISHA IKARUDI ZAIDI KUSHOTO
NIKAIRUDISHA TENA KULIA IKAWA INATAKA KWENDA MTARONI NIKAIRUDISHA TENA
KUSHOTO AMBAKO ILIGEUKA ILIKUKUA INATOKA NA KUINGIA MTARONI AMBAKO
ILIKITA NA KUVUNJA MLANGO WA UPANDE WANGU.SIJAAMINI KAMA NIMETOKA BILA
HATA JERAHA MGUUNI WALA MAUMIVU ZAIDI YA YALE UA KICHWANI KIDOGO
NILIYOJIGONGEA KWENYE MLANGO KWA JUU.AHSANTE SANA MUNGU UMENIOKOA.ASANTE
SANA MUNGU WANGU.