HAWA HAPA NDIO WASANII SITA(6) BONGO WANAOMILIKI MAGARI YA GHARAMA ZAIDI KWA SASA.. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, February 12, 2014

HAWA HAPA NDIO WASANII SITA(6) BONGO WANAOMILIKI MAGARI YA GHARAMA ZAIDI KWA SASA..


06. Ommy Dimpoz

Dimpoz anamiliki Mark x yenye thamani ya zaidi ya milioni 30.



05 . Ney wa Mitego

Ney wa mitego naye anamiliki gari aina ya Mark X yenye dhamani ya shillingi milioni 35.




04 . Wema Sepetu

Wema Sepetu anamiliki gari aina ya
Audi Q7 yenye thamani ya kuanzia milioni 70 kuendelea.




03 . Lady Jaydee

Jay dee anamiliki gari aina ya Range Rover Evoque linalokadiriwa kwenye milioni 65 hadi 72 hivi.



02. Irene Uwoya

Irene Uwoya ana miliki gari aina ya Mercedes Benz S Class 550 Sedan yenye rangi ya Black metalic ambayo thamani yake inakadiriwa zaidi ya millioni 153.




01 . Diamond Platnumz

Anamiliki gari aina ya TOYOTA LAND CRUISER V8 200 lenye thamani ya shillingi millioni 245 za kitanzania.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages