JUMA NATURE AKAKUSHA KUMPONDA DIAMOND KATIKA WIMBO WAKE MPYA...! SOMA UKWELI HAPA..... - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, February 18, 2014

JUMA NATURE AKAKUSHA KUMPONDA DIAMOND KATIKA WIMBO WAKE MPYA...! SOMA UKWELI HAPA.....



MWANAMUZIKI superstaa wa muziki wa kizazi kipya (Bongo Flavour) Sir Juma Nature Leo amefunguka katika mahojiano yake akihojiwa na Website hii ya masainyotambofu.com,

Alizungumzia Wimbo wake mpya uitwao Dada Mond, Baadhi ya Blogs zimeandika kuwa Nature aanzisha Bifu la chini kwa chini na Diambond kitu ambacho kimemshangaza sana Juma Nature.

Leo mda mchache uliopita Staa huyo wa Bongo Flavour amepigiwa simu na Masai Nyotambofu kutaka kujua ukweli kuhusu habari hizi, Juma Nature alikanusha vilivyo na kusema kwamba:  Mimi sina bifu lolote na Diamond kwani Diamond ni mdogo wangu na
wala Diamond hajawahi kunisea heshima hata mara moja kusudio la kuimba wimbo huo wa 'Dada Mond' ni mtazamo tu Baada ya kumuona Dada mmoja mcheza Show katika Bar zilizoko mtaani kwangu dada huyo amejizolea mashabiki kwa jina almaarufu  'Dada Mond' Blogs nyingi zimeandika kwamba mstari nilioimba kuwa ‘Usiwe limbukeni wewe Dada Mondi, Eti nimemdisi Diamond hio sio kweli mimi sina bifu na msanii yeyote, Alisema Juma Nature.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages