''NAPENDA KUWATANGAZIA WANAFUNZI WA CHUO CHA AJTC YA KWAMBA MCHAKATO WA KUTENGENEZA KATIBA YA WANAFUNZI UNAENDELA VIZURI NA WIKI HII RASIMU YA KWANZA YA KATIBA ITAKAMILIKA. UZIDNDUZI WAKE UNARAJIWA KUWA IJUMAA IJAYO HUKU MGENI RASIMI AKITARAJIWA KUWA MKURUGENZI WA MAFUNZO WA CHUO HIKI NDG JOSEPH MAYAGILA..''

Hicho ndo alichoandika mwenyekiti huyo kwenye mtandao wakijamii.