Na
uhakika umeshaona wasanii au watu maarufu wakiwa na tattoo sehemu
mbalimbali za miili yao. Wengi wao huchora tatoo hizo kwa sababu ya kitu
flani au ukumbusho wa mtu au kitu flani. Msanii Prezoo kwa kenya nahisi
ndo anaongoza kwa kua na tatoo nyingi sana katika mwili wake.Mojawapo ya tatoo hizo ni tatoo inayoonyesha sura ya baba yake mzazi. Baba mzazi wa msanii huyu alifariki miaka mingi iliyopita, na alikua akifahamika kama Dr Morris Makini. Katika tatoo hiyo iliyopo kwenye bega moja la msanii hiyo kwa chini imeandikwa " i will mourn you till i join you " Maneno hayo ni uthibitisho tosha kua Prezoo alimpenda sana baba yake. Katika maneno mengine Prezoo aliandika He taught me always to be a leader & not a disciple #DrMorrisMakini #MyFatherMyMentor #RIP #Rapcellency” Unaweza itazama picha ya tatoo hiyo hapo chini
