BREAK NEWS MOTO MKUBWA WAUNGUZA JENGO LA RK BARABARA YA NYERERE DAR - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, January 10, 2014

BREAK NEWS MOTO MKUBWA WAUNGUZA JENGO LA RK BARABARA YA NYERERE DAR



Jengo la RK lililokaribu na eneo la Jet katika Barabara ya Nyerere karibu na sheli ya Victoria linaendelea kuwaka moto mkubwa chana huu ambao umefika katika eneo la ghala la kuhifadhia madawa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wapo eneo la tukio ambako hali bado si shwari.
Sehemu iliyoathirika zaidi  ni ghala la kutunzia dawa za binadamu la kampuni ya Philips

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages