TAZAMA PICHA ZA WALIO OANA HADHARANI WAKIWA WATUPU HUKU UMATI WA WATU UKIWATAZAMA - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, December 21, 2013

TAZAMA PICHA ZA WALIO OANA HADHARANI WAKIWA WATUPU HUKU UMATI WA WATU UKIWATAZAMA


Wanandoa wawili walikamtwa kwenye siku ya harusi yao baada ya kufunga ndoa wakiwa uchi wa mnyama mtaani katika kile kilichosemekana ni kampeni yao kupinga sheria ya San Francisco inayokataza watu kuwa watupu.

Bibi harusi Gypsy Taub, 44, na bwana harusi Jamyz Smith, 20 walikamatwa ndani ya dakika chache baada ya kubadilishana viapo.

Kwa mujibu wa Taub:  'Hii ni katika kupinga sheria ya utupu, najua watu wa wapo nyuma yangu.'

Harusi hiyo iliendeshwa na mwanaharakati anayetetea kufutwa kwa sheria ya utupu aitwaye George Davis, anayetoka kwenye Kanisa la Universal Life.

Mara baada ya kusoma kutoka kwenye kitabu chake Kitakafu, kinachoitwa 'Erotic Art,' Davis alisema: 'Natangaza kuwa ninyi ni mke na mume.'

'Watu husherehekea kwa njia yoyote wanayojisikia kuwa poa nayo, mmoja kati ya watu waliowatakia mema wanandoa hao alisema, akiongeza: 'Ni kitu kizuri wanachokifanya. hakuna aliyeumizwa. hakuana aliyeathiriwa.'

Angalia picha hapo chini....


www.ngelangelanews.blogspot.com



Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages