Leo nilifanya press conference kwenye ukumbi
wa Idara ya habari,Maelezo..kubwa ilikuwa ni
kuzungumzia kuhusu tamasha la
christmass maalum kwa ajili ya watoto
litakalofanyika tarehe 25 mwezi huu,viwanja vya leaders..
na napenda kukukumbusha tu kwamba..kama
litakalofanyika tarehe 25 mwezi huu,viwanja vya leaders..
na napenda kukukumbusha tu kwamba..kama
utapenda mwanao ashiriki..basi mwandae
vizuri,kutakuwa na red carpet kwa watoto.
mpendezeshe mwanao ipasavyo,kutakuwa na zawadi kwa
watoto ambazo zitatangazwa baadae
HAYO NDO ALIYO ANDIKA KWENYE MTANDAO
Njiani...!!!
Nikiwasili.....!!!
Nikizungumza na mtoto aliyekuja kunisabahi...!!!
Nikiwa na meneja wangu..Babu Tale
Waandishi wakifanya kazi yao..!!!!
Nikisisitiza jambo..!!!