TAZAMA MSANII MAARUFU NNCHINI MAREKANI KELLY ROWLAND ALIVYOTEMBELEA MITAA YA MANZESE USWAHILINI JIJINI DAR - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, December 9, 2013

TAZAMA MSANII MAARUFU NNCHINI MAREKANI KELLY ROWLAND ALIVYOTEMBELEA MITAA YA MANZESE USWAHILINI JIJINI DAR


Msanii maarufu wa Marekani Kelly Rowland, ametinga uwanja wa fisi Manzese Dar es salaam jana jioni baada ya kusikia sifa za maeneo hayo ya Uswahilini tangu akiwa USA. Msanii huyo ametua nchini kwa tiketi ya MTV kupitia taasisi yake inayojishughulisha na kampeni za kupambana na Ukwimwi (Staying Alive Foundation) ya nchini Marekani, Kelly akiwa balozi wake. Akiwa Uwanja wa Fisi, ambako kunasifika kwa ufuska wa kupindukia na rate kubwa ya maambukizi ya virusi vya ukimwi kwa wasichana wadogo, Kelly alitembelea NGO ya EYG (Elizabeth Youth Group) inayojishughulisha na kutoa misaada ya elimu ya HIV/AIDS, uchangudoa, ulevi pamoja na uvutaji bangi kwa vijana nchiniwww.ngelangelanews.blogspot.com

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages