HIKI NDO ALICHO SEMA SHILOLE BAADA YA FLASH YAKE YA KAZI KUPOTEA NA WIMBO ALIOTAKA KUACHIA KUVUJA - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday, December 15, 2013

HIKI NDO ALICHO SEMA SHILOLE BAADA YA FLASH YAKE YA KAZI KUPOTEA NA WIMBO ALIOTAKA KUACHIA KUVUJA

Shilole aka ‘ShiShi Baby’ amejikuta akiwa na ngoma mpya hewani bila kupenda, huku akipokea simu za watangazaji kadhaa wakitaka auelezee wimbo huo hali ambayo imemkata mood kiasi flani.
Shilole amesema kuwa hakufahamu chochote kuhusu kutoka kwa wimbo wake na kwamba chanzo cha kuvuja wimbo huo flash yake iliyopotea.
“Ndo nashangaa, nishipigiwa simu nashangaa sielewe mimi lakini hiyo sio ngoma niliyokuwa nimepanga kuachia. Imevuja hiyo ngoma bila shaka, kwa sababu mimi sijategemea kabisa, ila nimepoteza flash na ilikuwa na ngoma zangu.” Amesema Shilole.
Hata hivyo Shilole ameipa baraka ngoma hiyo iendelee kupigwa tu redioni. Lakini kwa kuwa flash imepotea na ngoma kadhaa, huenda aliyeikota akaamua kuwa anaachia moja moja! Ni wazo tu, aliyeiokota amtafute ShiShi arudishe mood yake kiroho safi.www.ngelangelanews.blogspot.com

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages