SNOOP DOG ABADILI JINA, BAADA YA KUJIITA SNOOP LION, SNOOP DOG DOG SASA NI......... - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, October 17, 2013

SNOOP DOG ABADILI JINA, BAADA YA KUJIITA SNOOP LION, SNOOP DOG DOG SASA NI.........


Ni kama mwaka sasa umepita tangu Snoop Dog Dog alipobadili jina baada ya kuwa RASTA  na kujiita Snoop Lion.
www.ngelangelanews.blogspot.com
Habari kutoka kwa Hitmaker huyo wa Drop it like its hot Snoop Dog sasa amejibadili tena jina na kujiitaSnoopzilla...Kwa hiyo si Snoop Dog Dog wala SnoopLion sasa ni Snoopzilla!

Lakini sio Snoop tu ndio aliyebadili jina hata P.didy zamani alikuwa anajiita Puff Dady baadae ndio akabadili a.k.a..

Hapa nyumbani Tanzania Q Chller naye ni jina alilobadili maana hao awali alikuwa anajiitwa Qchief.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages