Baada ya habari hii kutoka,kupitia page yake katika mtandao wa Instagram Uwoya akafunguka kuhusu habari hiyo na hiki ndicho alichoandika.www.ngelangelanews.blogspot.com
Jana tena kupitia Instagram Uwoya amefunguka tena na kumshutumu Shigongo kuwa anamchafua kwa sababu ambazo hakuzitaja na kuahidi kufunguka kuhusu kitu hicho kilichofichika nyuma ya pazia siku zijazo.
Cheki alichosema;
Mashabiki wake waliochangia baada ya kuandika wengi wana kiu ya kujua nini tatizo na ni nini kinachoendelea kati yake na Shigongo ananchosema ataweka wazi!