ANGALIA JINSI SHINDANO LA REDDS MISS MOROGORO LILIVYO MATA, WAWILI WAENGULIWA KWA KUVAA NUSU UCHI
Vazi lillowaponza warembo wawili waliozidisha kuvaa nusu uchi
Mrembo Safina Chuma mwenye namba 5 aliyevalia gauni la nembo ya Taifa ambae alitimuliwa kuendelea kushiriki kutokana na kuvaa nusu uchi
hapa Saphina Chuma kutoka Kilombero ambae alienguliwa baada ya kupanda jukwaani na chupi hivyo kukosa sifa ya kuendelea na shindano hilo hapa akipewa kifuta jasho
Mshiriki Neema Joel mwenye namba 8 wa pili kulia akiwa na washiriki wengine kabla ya kuenguliwa kwake kwa kuvaa nusu uchi na kushiriki shindano hilo Arusha na kutaka tena Morogoro kinyume na sheria za shindano hilo ambalo linazuia mrembo kushiriki shindano hilo mara mbili kwa ndani ya mwaka mmoja
Hapa jaji mkuu Alix James NIkitas wa shindano hilo akiwashusha jukwaani Neema na Safina kwa kukosa sifa za kushiriki shindano hilo
Mrembo aliyevaa nusu uchi kupitiliza akitoka jukwaani baada ya kufukuzwa
Neema Joel kulia pia akitolewa jukwaani baada ya kushiriki Arsha na kuja Morogoro tena |
Mgeni rasmi Mhe Mustafa Mukulu (mwenye koti jeusi) akimuuliza mratibu mkuu wa Miss Tanzania Taifa Hashim Lundenga juu ya vichupi vya washiriki hao