P_SQURE WAWASHANGAZA MASHABIKI KWENYE MTANDAO - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, March 15, 2013

P_SQURE WAWASHANGAZA MASHABIKI KWENYE MTANDAO



Peter Okoye (of P-Square) ameweka picha kwenye mtandao wa instagram
with some caption zinazosema “Hustle must continue…. Oil business tinz…..
 No time.”

Pia aliweka picha nyingine ikiwa na hizi quotes “When u start from the bottom..
Who knows? God bless ma hustle.”

Watu wengi wameshindwa kuelewa walichukulie vip hili jambo..? Majamaa hawa
 wawili ni kwamba wanataka kuingia kwenye industry ya oil au ni vip




Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages