
Baada ya kukaa kimya kwa mda mrefu, the long time legend kwenye mziki wa bongo fleva, Juma Kassim Kiroboto, Juma Nature, ameamua kudondosha fleva mpya kwa maskio yako akiwa amemshirikisha Tunda Man
juma nature amesema ngoma hiyo iatsikika siku ya juma mosi ya kesho na itatoka kwenye mitandao mbalimbali. usikose kupitia blog hii kesho upate hiyo ngoma.