WAKAZI WA KAT YA NGUSERO WAILALAMIKIA MANISPAA YA ARUSHA KWA KUSHINDWA KUZOA TAKATAKA ZILIZO ZAGAA - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, February 7, 2013

WAKAZI WA KAT YA NGUSERO WAILALAMIKIA MANISPAA YA ARUSHA KWA KUSHINDWA KUZOA TAKATAKA ZILIZO ZAGAA

wakazi wa kata ya ngusero mtaa wa majasho wameilalamikia manispaa ya arusha kwa kushindwa kuzoa takataka zilizorundikwa pembezoni mwa barabara kwa lengo la  magari ya manispaa kuzichukua na kupeleka sehemu husika

Malalamiko hayo yametolewa na qwakazi wa mtaa huo baada ya takataka zilizorundikwa kwa muda wa wiki mbili bila gari la taka kupita na kuzipeleka sehemu inayotakiwa.

aidha wakazi hao wamesema takataka hizo zimekua ni kero kwasababu zimekaa mpaka zimeanza kuta harufu mbaya kitu kinachosababisha hata watu kushindwa kupita maeneo hayo, wakati wanachangia shilingi elfu moja kwa mwezi.

kwa upande mwingine mwenyekitiwa mtaa huo bw. Charlz sumari amesema alishawahi kuchukua hatua ya kutoa taariofa sehemu husika lakini hakuna marekebisho ambayoyamejitokeza mpaka sasa

sanjari nahayo mmoja wa wakusanyaji fedha za taka, Bi.Fatma Ally, amaeasema takataka hizo hazzolewi kutokana na wakazi wa mtaa huo kurundika takataka sehemu ambazo magari hayawezi kupita, kweahiyo ni lazima watu waweke taka sehemu zilizopangwa na sio kumwaga sehemu isiyopangwa.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages