WAKAZI WA ARUSHA WALALAMIKIA UCHAFU UNAOZAGAA KANDOKANDO YA MASOKO YA KUUZIA BIDHAA MBALIMBALI - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, January 10, 2013

WAKAZI WA ARUSHA WALALAMIKIA UCHAFU UNAOZAGAA KANDOKANDO YA MASOKO YA KUUZIA BIDHAA MBALIMBALI



Baadhi ya wafanya biashara hao wanaoonekana kwenye picha wamelalamikiwa na wananchi kuwa ndio wasababishi wakuu wa takataka pamoja na maji machafu yanayotoa harufu katika soko hilo. pia wananchi hao wamesema kuwa wafanyabiashara hao wameshindwa kuweka vifaa vya kuwekea takataka kwa wateja ambao wananunua na kutumia hapohapo, uchafu huo unaosambaa wenye soko hilo ni pamoja na makaratasi,maji machafu, pamoja na mabaki ya chakula.aidha wafanyabiashara hao wameipinga kauli ya wananchi hao nakusema uchafu huo unasababishwa na mvua zinazo nyesha karibu kila siku na kuleta maji machafu kutoka kwenye makazi ya watu. (PICHA ZOTE NA BENEDICT NGELANGELA pamoja na GETRUDE KARINGA)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages