watu wengi washikwa na bumbuwazi baada ya msanii wa hip hop nick mbishi kutupia facebook picha inayo muonesha akiwa ameonyesha kidole cha kati cha mkono wake, huku kila mtu akitafri maana yake baada ya kuona picha hiyo, situnajua utata mwingi hutokea endapo mtu akionyesha kidole cha kati huku kukiwa hakuna maana inayojulikana inamaanisha nini? sasa hayo ndo tunao waita vioo vya jamiii. picha na dj fetty