
akiongea nakipindi cha micharazo time toka 98.4 dodoma fm radio Double amesema wasanii wengi wamekuwa wakishindwa kufikia malengo yao kutokana na kushindwa kujitambua wanatakiwa kufanya nini kupitia sanaa, Double anasema wasanii wengi wanatka sifa kufahamika kidogo basi wanaridhika kupita kiasi kitu ambachoi kinawafanya wasipige hatua hata kidogo.
Pamoja na hayo Double amesema wasanii wengi wanashindwa kufikia malengo kwasababu wanaongea kuzidi matendo ya kazi zao ambazo wanazifanya kwakiasi kikubwa.