BAADA YAKUMKAMATA ANAEJIITA NABII TITTO, JESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA WATOA TAMKO NI MARUFUKU KU.... - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, January 23, 2018

BAADA YAKUMKAMATA ANAEJIITA NABII TITTO, JESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA WATOA TAMKO NI MARUFUKU KU....


JESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA LATOA TAMKA BAADA YAKUMKAMATA ANAEJIITA NABII TITO.
#Nimarufuku kuambatananae.
Image result for GILES MUROTO
KAMANDA WA POLISI DODOMA
Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma Giles b Muroto amewataka watu kuacha kuambatana naye anaejiita nabii Tito kwani anachokifanya ni kinyume cha sheria nao watakamatwa nakuchukuliwa hatua.
SACP Muroto amesema mshikiliwa anatamatatizo ya akili kwani 

Tarehe 23 mwezi wa 6,2014 alilazwa katika hospitali ya muhimbili nakutibiwa magonjwa ya akili na aliruhusiwa na wake Dr. William na kutakiwa kurejea tena kwa uangalizi wa tiba tareh 9.7.3014 lakini hakurejea.

Pia mtuhumiwa alifikishwa hospitali ya mirembe ya dodoma kwa uchunguzi uliofanywa na dr Dickosn Philip nakugundulika kuwa ni mgonjwa wa akili wa muda mrefu.

mtuhumiwa amekamatwa akiwa na majoho (Kanzu) yenye misalaba 2,vipeperushi 80,biblia moja na msalaba,vifaa anavyotumia kutangaza imani inayikwenda kinyume na maadili mema ya Taifa.

Jeshi la polisi linamshikilia kwa kosa hili,pia kufanya uchunguzi wakina dhidi yake lakini pia kumnusuri yeye mwenyewe asiweze kudhuliwa na watu imani tofauti.watu waache kuambatana naye kwakuwa anayoyafanya ni kinyume cha sheria nao watakamatwa na kuchukuliwa hatua.

@ngelangelanews




Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages