Ikumbukwe Ainea ambaye aliwahi kutamba na kibao kama sina mpango nae mara ya mwisho kuachia wimbo ilikuwa ni mwishoni mwa mwaka jana na amekaa kitambo kirefu bila kuachia kazi yoyote ya muziki.
kupitia ukurassa wake wa facebook Ainea aliweka wazi kuwa yupo tayari kuachia kazi mpya.
NIMDA MREFU NIMEAHID KUACHI WIMBO MPYA LEO NDO NITAWEKA TEASER YA VIDEO YANGU MPYA TEASER HYO ITAKUWA KWENYE YOUTUBE CHANEL YANGU AINEA AINEA SUBSCRIBE YOUTUBE CHANEL YANGU AINEA AINEA ILI UWE WAKWANZA KUIONA
PIA Naruhusu maswali nitayajibu hapa hapa coz inbox siwezi wajibu wote pia nisaidie kushare hii post iwafikie wengi. aliandika Ainea facebook