SISEMI KWA UBAYA ILA KUTEKWA KUMEKUZA BRAND YANGU -- (BINLADEN) - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, July 12, 2017

SISEMI KWA UBAYA ILA KUTEKWA KUMEKUZA BRAND YANGU -- (BINLADEN)

Moja kati ya story kubwa ambazo wapenzi waburudani na wasio wapenzi wa burudani ziliwagusa kwa mwaka huu 2017 nchini Tanzania ni kupotea kwa wasanii Roma, Moni Centralzone na mtayarishaji wa muziki BinLaden kwa muda wa siku tatu ambapo baadae habari zilitoka kuwa walitekwa na watu wasio julikana.
Image may contain: 1 person
binladen
sasa mmoja wao alipata nafasi yakuzungumza na kipindi cha Micharazo time toka 98.4 Dodoma fm radio ambaye ni Bin Laden mtayrishaji wa muziki nchini ambaye amekiri kwa kusema tangu tukio hilo la kutekwa limalizike amekuwa akipokea simu za watu maarufu wengi ambao hawali alikuwa hana mawasiliano nao.

Pia amesema kwasasa anauwezo wakumpigia simu mtu yoyote aliye kwenye kiwanda cha burudani na akapokea bila wasiwasi na moja ya kitu kingine ambacho ameweza kukipata ni kujulikana zaidi kwa watu hata walio mbali na wasio wapenzi wa muziki kabisa.

pamoja na hayo Bin Laden kwasasa ametangaza ujio wake wa studio mpya ambayo ameipa jina la destination sound ambayo inamilikiwa na yeye mwenyewe natayari wameachia wimbo ulioimbwa na Tasha la Diva.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages