ONESIX AICHIA VIDEO YA MAM DONT CRY, ALELEZEA SABABU ZA KUCHELEWA KWA VIDEO HIYO KUTOKA, ITAZAME HAPA. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, June 27, 2017

ONESIX AICHIA VIDEO YA MAM DONT CRY, ALELEZEA SABABU ZA KUCHELEWA KWA VIDEO HIYO KUTOKA, ITAZAME HAPA.

msanii wa muziki wakizazi kipya kutoka Dodoma Tanzani One six ameachia video ya wimbo wake ambao ulitoka miezi mitano iliyopita nakuzungumza na micharazo time ya 98.4 Dodoma fm radio sababu za kuchelewa kwa video hiyo.

Onesix amesema sababu za kuchelewa kwa video hiyo ni kutokana na matatizo yalimkuta muongozaji wa video hiyo kwakuharibikiwa na computer aliyokuwa anaifanyia kazi ikapelekea aagize vifaa hivyo toka nje ya nchi hali iliyompelkea ashindwe kuedit kwa haraka video hiyo ya mama dont cry.

ITAZAME VIDEO HIYO HAPA.




Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages