
kupitia ukurasa wake wa facebook Jacco Beat ameandika maneno yanayo ashilia kuwa anakuja na ujio wakishindo.
kitu chakujiuliza ni kwamba Jacco aliwatania mashabiki kuwa anaacha muziki au alikuwa anatafuta kiki ili watu wamzungumzie? huyu sio msanii wa kwanza kufanya hivo bali kauli hiyo iliwahi kutolewa na mwanamuziki Chid Benz ambaye alirudi tena kwenye muziki.
HIKI NDICHO ALICHOANDIKA JACCO BEAT KUPITIA UKURASA WAKE WA FACE BOOK.
Wale wote mliochoshwa na subira juu yangu....now the waiting is over......nahitaji kuanza kuamsha madude sasa.....nachukua nafasi hii kukuomba kunicheki whatsapp kwa namba 0658074341 niku add kwenye group la Jaco Beatz die hard fans kwa kuwa tayari na wakwanza kupokea suprise kazaa nazotaka kudondosha
endelea kutembelea mtandao huu kujua zaidi.