(AUDIO)HILI NI FUMANIZI LA MYSON ARTIST BAADA YA KUTOA WIMBO ALIO WADISS WASANII WAARUSHA @source micharazo time 98.4 dodoma fm - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, March 7, 2017

(AUDIO)HILI NI FUMANIZI LA MYSON ARTIST BAADA YA KUTOA WIMBO ALIO WADISS WASANII WAARUSHA @source micharazo time 98.4 dodoma fm

tareehe 7 march 2017 kipind cha micharazo time toka 98.4 dodoma fm radio kilifanya fumanizi kwa kumpigia simu msanii MYSON ARTIST ambaye hivi karibuni ametoka wimbo wa kuwashutuma wasanii wanao tokea Arusha na kuwatuhumu katika maeneo mbalimbali.
Image may contain: 6 people, text
Muongozai wa kipindi hicho Benedict Ngelangela alimpigia simu msanii huyo kwakujua ni jinsai gani anaweza kuwajibu wasanii wanampigia simu kumpatia vitishio kupitia wimbo wake huo ambao unawekwa kama wimbo wa kuwadiss baadhi ya wasanii ambao wanafanya game la muziki Arusha.

hivi karibuni msanii huyo aliposti maneno kwenye ukurasa wake wa facebook akielezea ni nini kimemkuta baada yakuachia wimbo huo na inasemekana amezuiliwa kuingi mjini Arusha na baadhi ya wasanii waliotajwa kwenye wimbo huo.

HII NI POST YAKE KUPITIA FACEBOOK.
Huwezi kunitishia kufika Arusha kisanimekutaja kwenye ngoma yangu bro nakuheshimu sana napia natambua mchango wako kwenye game ya hiphop Arusha but unapokuja swala la kuambiwa ukweli wengi Ndo huwa mna mind ila pia kumbuka mm nimtanzania na nalindwa na katiba ya nnchi naweza pia kukushtaki kwa kunitishia 

Arusha nitakuja tu huwezi nitisha na pili kam hujui nimezaliwa Arusha nimekulia Arusha nime...


SASA BONYEZA HAPA USIKILIZE MAJIBU YAKE BAADA YAKUPIGIWA SIMU NA MTANGAZAJI ALIE IGIZA KAMA MSANII ALIYESEMWA KWENYE WIMBO WAKE.

Source MICHARAZO TIME 98.4 DODOMA FM RADIO.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages