Kuelekea lile tamasha Kubwa LA Dodoma festival, kituo cha radio 98.4 Dodoma fm radio wameanza kupita mitaa mbalimbali kusaka vipaji kwa vijana.
Baada ya kupita Zuguni na kikuyu hii ilikuwa ni zamu ya wakazi wa Msalato.
msanii wa mziki kutoka WCB amepokelewa kwa kishindo baada ya kushinda tuzo ya BET, na wakazi wa Dar es salaam walijitokeza kumpokea. TAZAM...