
imeletwa kwenu na DST ACADEMY, CLUB 84 na MC MWANGATA Kiingilio ni shilingi 7000 tu na mlangoni ni shilingi 1000, lakini pia ukihitaji kuletewa Ticket yako mpaka ulipo piga simu 0719 122 624.
wale madj kutoka TOUCHS DJS ndio watakao warusha kwa ngoma kali.
unaambiwa mwambie mwenzio aanze kutunza mzigo tukutane tarehe 19 mwezi 11 Club 84.