IZZO BUSSNESS-- THE AMAIZING HAIWEZI KUZUIA KUTOA NGOMA ZANGU BINAFSI. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, November 18, 2016

IZZO BUSSNESS-- THE AMAIZING HAIWEZI KUZUIA KUTOA NGOMA ZANGU BINAFSI.

Msanii wa muziki kutoka mbeya IZZO BUSNESS ambaye yupo ndani ya kundi LA THE AMAIZING linalo undwa na member mwingine ABELLA MUSIC amesema kundi hilo hilitamzuia kuachia ngoma zake binafsi.

Akizungumza ndani ya kipindi cha micharazo time toka 98.4 Dodoma FM.radio alipo ulizwa na mtangazaji wa kipindi hicho BENEDICT NGELANGELA IZZO amesema yeye na BELLA wataendelea kuachia ngoma zao binafsi na kundi halita zuia mpango wake wa kuachia ngoma wasanii wanao jitegemea.

IZZO B ameongeza nakusema ngoma ambazo zimetangulia zilikua kwa lengo lakutambulisha kundi na wanashukuru Mungu kwamashabiki kuwa pokea.

Source Micharazo time 98.4 Dodoma FM radio.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages