
hali imekuwa tofauti baada ya msanii Rachel Njingo kukasirishwa kwa kutajwa katika list ya wasanii wenzake hao nakusema kuwa kwanini imetajwa movie yake ya nyuma ambayo ilikuwa chini ya kiwango na kwanini isitajwe movie yake mpya ambayo imetoka hivi karibuni na inachezwa kwenye kituo cha runinga.
haitoshi Rachel pia ameonesha kuto kupenda kukosolewa hii ni baada ya kumwambia mwandishi wa blog hii kuwa endapo akikosolewa basi story isitoke au isimfikie kwa namna yoyote ile.
baadh ya watu wamesema yawezekana Rachel ametetemeka baada ya kuuona ujio mpya wa msanii mwenzake Sonnatha Nduka ambaye anakuja na movie aliyo washirikisha wasanii wakubwa wakuigiza.