
Hayawi hayawi sasa yamekuwa ile filamu iliyo kuwa inasubiliwa kwa hamu sasa ipo madukani, ukizungumzia kati ya filamu bora ambazo unastahili kuitazama kwasasa ukiwa peke yako au na familia yako bila shaka ni filamu inayo kwenda kwa jina la CLARITHA,
Ambayo imechezwa jijini dar es salaam katika maeneo mbalimbali huku wa sanii wakubwa kama mzee na mzee JENGUA.

Licha ya mastaa hao wote kucheza humo ndani lakini pia kimeonekana kipaji kipya kutoka mji kwenye zabibu kibao ambaye ni mwanafunzi wa ST JOHN UNIVERSITY anayeitwa RACHEL NJINGO a.k.a RMODEL ambaye amecheza kama starring wa filamu hiyo na kuonyesha uwezo mkubwa sana wa kuigiza.
Licha ya kuwa muigizaji lakini pia anavipaji mbalimbali kama video queen na ameshiriki kwenye nyimbo mbalimbali kama nyimbo ya msanii JACO BEAT inayoitwa NGEBE, Lakini pia ni mwanamitindo wa mavazi.
AKIZUNGUMZA NA MTANDAO HUU RACHEL NJINGO ALIKUWA NA HAYA YAKUSEMA

@@@@ni kweli filamu ya claritha imetoka na ni filamu mpya kwasasa ambayo ni nzuri na inakiwango kikubwa cha kila mtu kuweza kuitazama, napenda kuwaomba wakazi wa dodoma na tanzania kwa ujumla waweze kuinunua kwani kwasasa ipo madukani.@@@@
![]() | |
rahel njingo kwenye poz |